Ni tamthilia inayohusisha pande mbili ambazo ni Vegas na Yazuka wanaingia katika machafuko baada ya kumwagika damu siku ya mechi.Machafuko hayo yanapelekea uhasama kati ya pande hizo mbili kutoshirikiana kwa njia yeyote.